Kut. 11:8 SUV

8 Tena hao watumishi wako wote watanitelemkia kwangu mimi, nao watanisujudia, wakisema, Toka wewe, na hawa watu wote wakufuatao; na baada ya hayo nitatoka. Basi akatoka kwa Farao na hasira kuu.

Kusoma sura kamili Kut. 11

Mtazamo Kut. 11:8 katika mazingira