Kut. 12:11 SUV

11 Tena mtamla hivi; mtakuwa mmefungwa viuno vyenu, mmevaa viatu vyenu miguuni, na fimbo zenu mikononi mwenu; nanyi mtamla kwa haraka; ni pasaka ya BWANA.

Kusoma sura kamili Kut. 12

Mtazamo Kut. 12:11 katika mazingira