Kut. 12:13 SUV

13 Na ile damu itakuwa ishara kwenu katika zile nyumba mtakazokuwamo; nami nitakapoiona ile damu, nitapita juu yenu, lisiwapate pigo lo lote likawaharibu, nitakapoipiga nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Kut. 12

Mtazamo Kut. 12:13 katika mazingira