Kut. 12:21 SUV

21 Hapo ndipo Musa akawaita wazee wa Israeli, na kuwaambia, Nendeni, mkajitwalie wana-kondoo kama jamaa zenu zilivyo mkamchinje pasaka.

Kusoma sura kamili Kut. 12

Mtazamo Kut. 12:21 katika mazingira