Kut. 12:34 SUV

34 Watu wakauchukua unga wa mikate yao kabla haijatiwa chachu, na vyombo vyao vya kukandia wakavitia ndani ya nguo zao mabegani.

Kusoma sura kamili Kut. 12

Mtazamo Kut. 12:34 katika mazingira