36 BWANA akawajalia kupendelewa na Wamisri hata wakawapa kila walichokitaka. Nao wakawateka Wamisri nyara.
Kusoma sura kamili Kut. 12
Mtazamo Kut. 12:36 katika mazingira