Kut. 13:16 SUV

16 Jambo hilo litakuwa ni ishara mkononi mwako, na utepe katikati ya macho yako; kwa kuwa BWANA alitutoa Misri kwa uwezo wa mkono wake.

Kusoma sura kamili Kut. 13

Mtazamo Kut. 13:16 katika mazingira