Kut. 13:18 SUV

18 lakini Mungu akawazungusha hao watu kwa njia ya bara kando ya Bahari ya Shamu; wana wa Israeli wakakwea kutoka nchi ya Misri hali wamevaa silaha.

Kusoma sura kamili Kut. 13

Mtazamo Kut. 13:18 katika mazingira