Kut. 13:9 SUV

9 Nayo itakuwa ishara kwako katika mkono wako, na kwa ukumbusho kati ya macho yako, ili kwamba sheria ya BWANA ipate kuwa kinywani mwako; kwani BWANA alikutoa utoke Misri kwa mkono wenye uwezo.

Kusoma sura kamili Kut. 13

Mtazamo Kut. 13:9 katika mazingira