10 Hata Farao alipokaribia, wana wa Israeli wakainua macho yao, na tazama, Wamisri wanakuja nyuma yao; wakaogopa sana; wana wa Israeli wakamlilia BWANA.
Kusoma sura kamili Kut. 14
Mtazamo Kut. 14:10 katika mazingira