13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
Kusoma sura kamili Kut. 14
Mtazamo Kut. 14:13 katika mazingira