Kut. 14:27 SUV

27 Musa akaunyosha mkono wake juu ya bahari, na kulipopambazuka, bahari ikarudi kwa nguvu zake; Wamisri wakakimbia mbele yake; na BWANA akawakukutia mbali hao Wamisri kati ya bahari.

Kusoma sura kamili Kut. 14

Mtazamo Kut. 14:27 katika mazingira