30 Ndivyo BWANA alivyowaokoa Israeli siku ile mikononi mwa Wamisri; Waisraeli wakawaona Wamisri ufuoni kwa bahari, wamekufa.
Kusoma sura kamili Kut. 14
Mtazamo Kut. 14:30 katika mazingira