Kut. 14:4 SUV

4 Nami nitaufanya uwe mgumu moyo wa Farao, naye atafuata nyuma yao; nami nitajipatia utukufu kwa Farao, na kwa jeshi lake lote; na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA. Basi wakafanya hivyo.

Kusoma sura kamili Kut. 14

Mtazamo Kut. 14:4 katika mazingira