Kut. 15:21 SUV

21 Miriamu akawaitikia,Mwimbieni BWANA kwa maana ametukuka sana;Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.

Kusoma sura kamili Kut. 15

Mtazamo Kut. 15:21 katika mazingira