Kut. 16:12 SUV

12 Nimeyasikia manung’uniko ya wana wa Israeli; haya sema nao, ukinena, Wakati wa jioni mtakula nyama, na wakati wa asubuhi mtashiba mkate; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:12 katika mazingira