Kut. 16:18 SUV

18 Nao walipoipima kwa pishi, yeye aliyekuwa ameokota kingi hakubakiwa na kitu, na yeye aliyekuwa ameokota kichache hakupungukiwa; wakaokota kila mtu kama ulaji wake ulivyokuwa.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:18 katika mazingira