Kut. 16:20 SUV

20 Lakini hawakumsikiza Musa; wengine miongoni mwao wakakisaza hata asubuhi, nacho kikaingia mabuu na kutoa uvundo; Musa akawakasirikia sana.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:20 katika mazingira