Kut. 16:29 SUV

29 Angalieni, kwa kuwa BWANA amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:29 katika mazingira