Kut. 16:7 SUV

7 na asubuhi ndipo mtakapouona utukufu wa BWANA; kwa kuwa yeye asikia manung’uniko yenu mliyomnung’unikia BWANA; na sisi tu nani, hata mkatunung’unikia?

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:7 katika mazingira