Kut. 17:5 SUV

5 BWANA akamwambia Musa, Pita mbele ya watu, ukawachukue baadhi ya wazee wa Israeli pamoja nawe; na ile fimbo yako ambayo uliupiga mto kwayo, uitwae mkononi mwako, ukaende.

Kusoma sura kamili Kut. 17

Mtazamo Kut. 17:5 katika mazingira