Kut. 17:9 SUV

9 Musa akamwambia Yoshua, Tuchagulie watu, ukatoke upigane na Waamaleki; kesho nitasimama juu ya kilele kile, na ile fimbo ya Mungu nitakuwa nayo mkononi mwangu.

Kusoma sura kamili Kut. 17

Mtazamo Kut. 17:9 katika mazingira