Kut. 18:10 SUV

10 Kisha Yethro akasema, Na ahimidiwe BWANA aliyewaokoa na mikono ya Wamisri, na mkono wa Farao; aliyewaokoa watu hao watoke mikononi mwa Wamisri.

Kusoma sura kamili Kut. 18

Mtazamo Kut. 18:10 katika mazingira