18 Huna budi utadhoofika wewe, na hawa watu walio pamoja nawe pia; maana jambo hili ni zito mno kwako; huwezi wewe kulitenda peke yako.
Kusoma sura kamili Kut. 18
Mtazamo Kut. 18:18 katika mazingira