7 Basi Musa akatoka nje ili amlaki mkwewe, akasujudia na kumbusu; nao wakaulizana habari; kisha wakaingia hemani.
Kusoma sura kamili Kut. 18
Mtazamo Kut. 18:7 katika mazingira