Kut. 19:12 SUV

12 Nawe utawawekea mipaka watu hawa pande zote, ukisema, Jihadharini, msipande mlima huu, wala msiuguse, hata mapambizo yake; kila mtu atakayeugusa mlima huu, bila shaka atauawa.

Kusoma sura kamili Kut. 19

Mtazamo Kut. 19:12 katika mazingira