Kut. 19:23 SUV

23 Musa akamwambia BWANA, Watu hawa hawawezi kuukaribia mlima wa Sinai; kwa kuwa wewe ulituusia, ukisema, Wekeni mipaka kando-kando ya mlima, na kuutenga.

Kusoma sura kamili Kut. 19

Mtazamo Kut. 19:23 katika mazingira