Kut. 19:9 SUV

9 BWANA akamwambia Musa, Tazama, mimi naja kwako katika wingu zito ili watu hawa wasikie nitakaposema nawe, nao wapate kukuamini wewe nawe hata milele. Musa akamwambia BWANA hayo maneno ya watu.

Kusoma sura kamili Kut. 19

Mtazamo Kut. 19:9 katika mazingira