Kut. 2:13 SUV

13 Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?

Kusoma sura kamili Kut. 2

Mtazamo Kut. 2:13 katika mazingira