Kut. 2:15 SUV

15 Basi Farao alipopata habari, akataka kumwua Musa; lakini Musa akakimbia mbele ya Farao, akakaa katika nchi ya Midiani; akaketi karibu na kisima.

Kusoma sura kamili Kut. 2

Mtazamo Kut. 2:15 katika mazingira