Kut. 2:23 SUV

23 Hata baada ya siku zile nyingi mfalme wa Misri akafa; wana wa Israeli wakaugua kwa sababu ya ule utumwa, wakalia; kilio chao kikafika juu kwa Mungu kwa sababu ya ule utumwa.

Kusoma sura kamili Kut. 2

Mtazamo Kut. 2:23 katika mazingira