Kut. 2:5 SUV

5 Basi binti Farao akashuka, aoge mtoni, na vijakazi wake wakatembea kando ya mto; naye akakiona kile kisafina katika majani, akamtuma kijakazi wake kwenda kukileta.

Kusoma sura kamili Kut. 2

Mtazamo Kut. 2:5 katika mazingira