Kut. 20:17 SUV

17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

Kusoma sura kamili Kut. 20

Mtazamo Kut. 20:17 katika mazingira