Kut. 21:19 SUV

19 atakapoinuka tena na kuenenda nje kwa kutegemea fimbo, ndipo hapo yule aliyempiga ataachwa; ila atamlipa kwa ajili ya hayo majira yake yaliyompotea, naye atamwuguza hata apone kabisa.

Kusoma sura kamili Kut. 21

Mtazamo Kut. 21:19 katika mazingira