Kut. 21:22 SUV

22 Watu waume wakiteta pamoja, wakamwumiza mwanamke mwenye mimba hata akaharibu mimba, tena yasiwe madhara zaidi; sharti atatozwa mali kama atakavyomwandikia mumewe huyo mwanamke; atalipa kama hao waamuzi watakavyosema.

Kusoma sura kamili Kut. 21

Mtazamo Kut. 21:22 katika mazingira