Kut. 21:32 SUV

32 Ng’ombe akimtumbua mtumwa mume au kijakazi; mwenye ng’ombe atampa bwana wao shekeli thelathini za fedha, naye ng’ombe atauawa kwa kupigwa kwa mawe.

Kusoma sura kamili Kut. 21

Mtazamo Kut. 21:32 katika mazingira