Kut. 21:35 SUV

35 Ng’ombe wa mtu akimwumiza ng’ombe wa mtu mwingine hata akafa; ndipo watamwuza huyo ng’ombe aliye hai na kugawanya thamani yake; na ng’ombe aliyekufa pia watamgawanya.

Kusoma sura kamili Kut. 21

Mtazamo Kut. 21:35 katika mazingira