Kut. 22:7 SUV

7 Mtu akimpa mwenziwe amana ya fedha au vitu vingine amtunzie, na vitu vile vikaibwa katika nyumba ya mtu huyo; mwivi akipatikana, atalipa thamani yake mara mbili.

Kusoma sura kamili Kut. 22

Mtazamo Kut. 22:7 katika mazingira