Kut. 23:22 SUV

22 Lakini ukiisikiza sauti yake kweli, na kuyatenda yote ninenayo mimi; ndipo mimi nitakuwa ni adui wa adui zako, na mtesi wa hao wakutesao.

Kusoma sura kamili Kut. 23

Mtazamo Kut. 23:22 katika mazingira