Kut. 23:24 SUV

24 Usiisujudie miungu yao, wala kuitumikia; wala usitende mfano wa matendo yao; bali utaiangamiza kabisa, na nguzo zao utazivunja vipande vipande.

Kusoma sura kamili Kut. 23

Mtazamo Kut. 23:24 katika mazingira