Kut. 24:1 SUV

1 Kisha BWANA akamwambia Musa, Kweeni wewe, na Haruni, na Nadabu, na Abihu, na watu sabini wa wazee wa Israeli, mkamfikilie BWANA; mkasujudie kwa mbali;

Kusoma sura kamili Kut. 24

Mtazamo Kut. 24:1 katika mazingira