Kut. 24:8 SUV

8 Musa akaitwaa ile damu, akawanyunyizia watu, akasema, Hii ndiyo damu ya agano alilolifanya BWANA pamoja nanyi katika maneno haya yote.

Kusoma sura kamili Kut. 24

Mtazamo Kut. 24:8 katika mazingira