10 Nao na wafanye sanduku la mti wa mshita; urefu wake na uwe dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu.
Kusoma sura kamili Kut. 25
Mtazamo Kut. 25:10 katika mazingira