Kut. 25:35 SUV

35 na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, kwa hayo matawi sita yatokayo katika kile kinara.

Kusoma sura kamili Kut. 25

Mtazamo Kut. 25:35 katika mazingira