Kut. 26:19 SUV

19 Nawe ufanye matako arobaini ya fedha chini ya zile mbao ishirini, matako mawili chini ya ubao mmoja, kupokea zile ndimi zake mbili, na matako mawili chini ya ubao mwingine kupokea zile ndimi zake mbili;

Kusoma sura kamili Kut. 26

Mtazamo Kut. 26:19 katika mazingira