25 Mbao zitakuwa ni nane, na matako yake ya fedha, matako kumi na sita; matako mawili chini ya ubao mmoja, na matako mawili chini ya ubao wa pili.
Kusoma sura kamili Kut. 26
Mtazamo Kut. 26:25 katika mazingira