Kut. 26:33 SUV

33 Nawe tungika lile pazia chini ya vile vifungo, nawe lete lile sanduku la ushuhuda na kulitia humo nyuma ya pazia; na lile pazia litawagawanyia kati ya patakatifu, na mahali patakatifu sana.

Kusoma sura kamili Kut. 26

Mtazamo Kut. 26:33 katika mazingira