Kut. 27:11 SUV

11 Ni vivyo upande wa kaskazini, urefu wake hiyo chandarua utakuwa ni dhiraa mia, na nguzo zake ishirini, na matako yake ishirini yatakuwa ya shaba; kulabu za zile nguzo na vitanzi vyake vitakuwa vya fedha.

Kusoma sura kamili Kut. 27

Mtazamo Kut. 27:11 katika mazingira