Kut. 27:18 SUV

18 Urefu wa huo ua utakuwa dhiraa mia, na upana wake utakuwa dhiraa hamsini kotekote, na kwenda juu kwake dhiraa tano; yawe ya nguo ya kitani nzuri, na matako yake yatakuwa ya shaba.

Kusoma sura kamili Kut. 27

Mtazamo Kut. 27:18 katika mazingira