Kut. 27:20 SUV

20 Nawe waamuru wana wa Israeli wakuletee mafuta ya zeituni safi ya kupondwa kwa ajili ya nuru, ili kufanya ile taa kuwaka daima.

Kusoma sura kamili Kut. 27

Mtazamo Kut. 27:20 katika mazingira